Kiswahili

UPENDO

Kilicho muhimu zaidi
  ni upendo Wangu kwako.
Ni kama mvua
  inavyosafisha vyote
  inavyovinyeshea.
Ni kama jua
  linavyoviburudisha
  viumbe vyote vilivyo hai.
Ni kama hewa
  inavyovipa uhai vyote
  vinavyohitaji lishe yake.

Ikiwa hii ndiyo tabia ya upendo,
  basi pokea manufaa yake.
Pokea baraka za upendo
  na ugawane matunda yake
  na wale unaokutana nao.

Tafakari Inayofuata

Yaliyomo

Shiriki ukurasa huu: