Kiswahili

UKWELI

Ninaruhusu mateso yako
  ili uweze kuelewa
  kwa undani zaidi upendo nilio nao kwako.
Ninaruhusu maumivu yako
  ili uweze kunifahamu zaidi.
Ninaruhusu huzuni yako
  ili niweze kukufariji.
Ninaruhusu kuchanganyikiwa kwako
  ili niweze kukupa matumaini.
Ninaruhusu mambo yanayokukatisha tamaa
  ili niweze kukufundisha subira.

Tafakari Inayofuata

Yaliyomo

Shiriki ukurasa huu: