Kiswahili

KURIDHIKA

Tazama na uuone mpango Wangu.
Sikiliza na uusikie mwongozo Wangu.

Tazama na uuelewe utawala Wangu.
Furahia na uukubali uwepo Wangu.

Ni furaha gani kubwa zaidi unayoweza kuitafuta?
Ni uradhi gani mkubwa zaidi unaoweza kupatikana?
Ni amani gani inayozaa matunda zaidi?
Ni lengo gani lililo la kweli zaidi?

Tafuta na uipate kweli Yangu.
Tafuta na kuugundua mpango Wangu kwa ajili yako.
Furahia amani Yangu niliyokuwekea.
Hakuna kitu kingine kitakachokuletea uradhi.

Tafakari Inayofuata

Yaliyomo

Shiriki ukurasa huu: