Kiswahili

Sala ya Komunyo ya Kiroho

Yesu wangu,

Ninaamini kwamba Wewe

upo katika Sakramenti Takatifu Sana.

Ninakupenda kuliko vitu vyote,

na ninatamani kukupokea nafsini mwangu.

Kwa kuwa siwezi kwa sasa

kukupokea kisakramenti,

njoo angalau kiroho moyoni mwangu.

Ninakukumbatia kana kwamba tayari upo humo

na ninajiunganisha kabisa nawe.

Usiruhusu kamwe nitengane nawe.

Amina.
Shiriki ukurasa huu: