Kiswahili

HEKIMA

Matukio ya maisha huleta furaha na mkanganyiko.
Ni nini kilicho nyuma ya matukio haya?
Yanakuaje na kufikia mwisho?
Ni nini kilichomo kati ya mipaka hii miwili?
Kuelewa si rahisi.

Ni hekima gani iliyomo ndani
  na inayotokana na matukio yanayokupata?
Tafuta hekima hii.
Ona maono yake.
Fuata mwongozo wake.
Pata faraja katika mwisho wake.

Tafakari Inayofuata

Yaliyomo

Shiriki ukurasa huu: