Baba wa milele,
ninakutolea Damu azizi kabisa ya Mwana Wako wa Kimungu, Yesu,
kwa kuungana na Misa Takatifu zinazoadhimishwa ulimwenguni kote leo,
kwa ajili ya roho zote takatifu zilizoko toharani.
Amina.
Na Mtakatifu Gertruda
Safari ya kuongoka binafsi!