Kiswahili

KUWA MPYA

Tafuta tofauti.
Tafuta mabadiliko.
Jitahidi kugundua.
Furahia tukio hilo.
Yatafute matunda.
Shiriki matokeo yake na wengine.
Uwe utimilifu wake.

Jambo la maana mwishowe
  si jinsi ulivyoanza
  bali jinsi ulivyobadilika
  kutokana na ugunduzi uliojaliwa.

Jambo la maana mwishowe
  ni mtu ambaye umekuwa
  kutokana na matunda uliyopewa.

Jambo la maana mwishowe
  ni mtu ambaye umekuwa
  kutokana na baraka Zangu.

Jambo la maana mwishowe
  ni kunielewa Mimi.

Tafakari Inayofuata

Yaliyomo

Shiriki ukurasa huu: