Kiswahili

KUTUMAINI

Utiwe moyo katika matatizo yako.
Uinuliwe kutoka katika hali yako ya kukata tamaa.
Amini na upate faraja Kwangu.

Nitakuondolea mizigo yako.
Nitapunguza maumivu yako.
Nitakuletea matumaini.
Achilia mahangaiko yako.

Nikabidhi mambo haya.
Nitakuondolea mambo hayo.
Nitakuweka huru.

Usisite.
Usikawie.
Nitakuweka huru.

Usingoje.
Usiogope.
Acha akili yako iwe huru.

Nitakupa nguvu unazohitaji
  ili kustahimili matatizo yako.
Nitakupa yote unayohitaji.
Itumainie ahadi hii.

Tafakari Inayofuata

Yaliyomo

Shiriki ukurasa huu: