
Twaa, Bwana, na upokee uhuru wangu wote,
Kumbukumbu yangu, ufahamu wangu
Na utashi wangu wote,
Vyote nilivyo navyo na nivitavyo vyangu.
Wewe umenipa vyote.
Kwako, Bwana, navirudisha vyote.
Vyote ni Vyako; vitendee utakavyo.
Nipe tu upendo Wako na neema Yako.
Hayo yananitosha.
Amina.
Sala ya Mtakatifu Ignasi wa Loyola
Picha kuu: Alessandro Franchi, CC BY 3.0, kupitia Wikimedia Commons
